Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amekabiliwa na adhabu ya kusimamishwa kwa siku 30 pamoja na faini ya euro 255, sawa na takribani Sh milioni 750,000 za Tanzania.
Adhabu hiyo imetolewa kufuatia kitendo cha mshambuliaji huyo kuondoka kambini mwa timu ya taifa wakati wa maandalizi ya timu hiyo yaliyofanyika nchini Denmark.
Ronaldo, ambaye anaongoza kikosi cha Ureno, anaripotiwa kukubali kuwajibika kwa kitendo hicho akizingatia nafasi yake kama nahodha na mfano anaopaswa kuwaonyesha wachezaji wenzake.
Hili ni fundisho kuwa hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu ,na huu ni mfano wa kuingwa kwa mashirikisho mengine ya soka kuhakikisha hayateteleki kwenye kutoa maamuzi hasa kama Kuna mchezaji au kiongozi anataka kuvuka mipaka.
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.

Post a Comment