Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Hatua ya makundi ligi ya mapigwa Afrika imefikisha mizunguko miwili ambapo Kila timu imevuna ilicho kipanda huku matokeo ya kuduwaza yakionekana na kuthibitisha kuwa mpira ni mchezo wa kuheshimiana huku kukiwa na maandalizi mazuri.
Wanamichezo Wengi nchini waliamini kuwa Klabu ya Simba ndio ingefanya vizuri zaidi kutokana na ubora wake hivi karibuni katika mashindano ya klabu bingwa na shirikisho wakiwa na historia ya kuvuka makundi Kila mara lakini mpaka sasa wamepoteza michezo yote miwili wakiiburuza mkia bila alama.
Klabu ya Yanga inaendelea kuwashangaza Wana soka Afrika kuwa licha ya kuwa kwenye kundi na vigogo kutoka kaskazini lakini wamevunan alama nne sawa na Ahaly na kushika nafasi ya pili kwenye kundi B.
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.




Post a Comment