Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Baada ya kufunga bao la pekee na la ushindi katika fainali ya kombe la Dunia 2026 lililoipa ubingwa timu ya Taifa ya Spain dhidi ya Argentina, mshambuliaji wa PSG na timu ya Taifa ya Spain Ferran Torres ameendelea kuwa mwimba mchungu kwenye lango la timu pinzani.
Kabla ya kujiunga na PSG nyota huyo alikuwa akikipiga FC Barcelona ambapo hakufanikiwa kuonyesha ukatili mbele ya nyavu japo kuwa hakupata nafasi mara kwa mara kwa kuwepo kwa Robert lewandowski.
Akiwa PSG mpaka sasa nyota huyo amepachika mabao saba , manne katika Ligue one, huku matatu akifunga kwenye mchezo wa UEFA champions league na kuonekana kuwa mshambuliaji tishio chini ya mwalimu Luis Henrique.
Hivyo bao alilolifinga kwenye fainali kombe la Dunia limemjengea ujasiri mpaka sasa anaendelea kuwa mshambuliaji hatari kwa upachikaji wa mabao.
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.


Post a Comment