Kiumbe cha ajabu katika soka na rekodi za kipekee kwenye kombe la Dunia

 

Timothy Lugembe,

Mwanakwetusports.

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi (39), anaendelea kuutikisa ulimwengu wa soka baada ya kuandika rekodi zenye upekeke katika michuano ya kombe la dunia aliyo anza kucheza mwaka 2006.

Hizi ni rekodi alizoziweka Lionel Messi 

- Anafikisha mabao 21 na kuendelea kuwa mfungaji bora wa muda wote katika mashindano hayo.

-Anakuwa mchezaji mwenye umri mkubwa kufunga mabao matatu (hat trick ), akifanya hivyo kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi dhidi ya Algeria 

-Ametengeneza nafasi nyingi za mabao (79).

- Ndiye mchezaji mwenye pasi nyingi za mabao akiwa amepiga pasi tisa

-Tuzo nyingi za Special player man of the match akiwa na tuzo 12

-Ndiye mchezaji aliye funga michezo tisa mfululizo katika michuano hiyo

Huyu ndiye Lionel Messi Wengi wakimuita binadamu kutoka sayali nyingine, hizo ni historia na muda wowote zinabadilika kwa maana historia au rekodi zinawekwa ili zivunywe je, nani atakaye zivunja rekodi za kiumbe huyu wa ajabu katika soka?

0767915473,

lugembetimothy01@gmail.com.



0/Post a Comment/Comments