✍️ Emmanuel Masuza
Mwanakwetu Sports
2017 alikuwa Lito Luvumbo wa Angola ๐ฆ๐ด na hivi sasa anacheza katika klabu ya RCD Mallorca ya Spain ๐ช๐ธ.
2019 alikuwa Stive Mvoue wa Cameroon ๐จ๐ฒ na hivi sasa anacheza katika klabu ya IK Start ya Norway ๐ณ๐ด.
2023 alikuwa Souleymane Alio wa Burkina Faso ๐ง๐ซ na hivi sasa anacheza katika klabu ya FC Nordsjรฆlland ya Denmark ๐ฉ๐ฐ
2025 alikuwa Abdellah Ouzane wa Morocco ๐ฒ๐ฆ na hivi sasa anacheza katika klabu ya Ajax ya Netherlands ๐ณ๐ฑ.
2026 ni Issa Mussa Chole wa Tanzania ๐น๐ฟ na kwa sasa anacheza pale Fountain Gates FC.
Je, Kuna uwezekano wa Chole kuelekea Ulaya kama ilivyokuwa kwa ma MVP wa misimu iliyopita..?

Post a Comment