JULIAN QUINONES NA REKODI MPYA KOMBE LA DUNIA

 


EMMANUEL S. MASUZA

Mwanakwetu Sports

Anaitwa Julian Quinones Mchezaji wa timu ya taifa ya Mexico ameweka historia ya kuwa Mchezaji wa kwanza kufunga Goli katika Michuano ya Kombe la dunia mwaka huu 

Quinones amefunga goli moja katika ushindi wa 2-0 waliopata Mexico dhidi ya Bafana Bafana, timu ya taifa ya Afrika Kusini 

Ikumbukwe Michuano ya Kombe la duniani zinaandaa mataifa matatu ambayo ni MAREKANI, CANADA na MEXICO.

0718431472

emmasolomon825@gmail.com


0/Post a Comment/Comments