Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanaendelea kupamba moto baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutangaza ratiba kamili ya michezo ya hatua ya 16 bora, Kwa mujibu wa ratiba hiyo, michezo ya hatua hii itaanza rasmi Januari 3, 2026 na itakamilika Januari 6, 2026.
Hatua ya 16 bora inatarajiwa kuleta ushindani mkali huku vigogo wa soka barani Afrika wakitarajia kupambana vikali kuwania nafasi ya kusonga mbele katika robo fainali.
Ratiba ya Michezo ya Hatua ya 16 Bora AFCON 2025
Januari 3, 2026
Saa 19:00 Senegal vs Sudan
Saa 22:00 Mali vs Tunisia
Januari 4, 2026
Saa 19:00 Morocco vs Tanzania
Saa 22:00 South Africa vs Cameroon
Januari 5, 2026
Saa 19:00 Egypt vs Benin
Saa 22:00 Nigeria vs Mozambique
Januari 6, 2026
Saa 19:00 Algeria vs DR Congo
Saa 22:00 Ivory coast vs Burkina Faso
Hatua ya 16 bora ya AFCON 2025 inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, ambapo kila timu itapambana kwa nguvu zote kuhakikisha inafuzu kwenda hatua ya robo fainali.
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.

Post a Comment