16 BORA UEFA INAPATIKANA HIVI

Timothy Lugembe,

Mwanakwetusports.

 NAFASI YA 1–8 KUFUZU MOJA KWA MOJA 16 BORA

Kwa mujibu wa msimamo timu zilizopo nafasi ya kwanza hadi ya nane ndizo zilizo katika hali nzuri zaidi ya kumaliza hatua ya ligi na kwenda moja kwa moja hatua ya 16 bora endapo zitaendelea kulinda nafasi zao.

Hata hivyo, ushindani bado ni mkali kwani timu zilizo chini yao zinawafuatia kwa tofauti ndogo ya alamai, jambo linalofanya kila mchezo ujao kuwa wa maamuzi.

NAFASI YA 9–24 KUCHEZA MTOANO (PLAY-OFF )

Timu zilizopo nafasi ya 9 hadi 24 ndizo zilizo kwenye eneo la hati hati zikiwa na uwezo wa kufuzu hatua inayo fuata au kuaga mashindano asilimia ni hamsini kwa hamsini

NAFASI YA 25–36 KUAGA MASHINDANO MOJA KWA MOJA

Timu zilizopo nafasi ya 25 hadi 36 ziko katika hali ngumu, zikiwa kwenye mstari wa kuaga mashindano endapo hazitarekebisha mwenendo wao katika michezo iliyosalia zikisalia.kwenye nafasi zao zitakuwa zimeaga mashindano Moja kwa Moja.

0767915473,

lugembetimothy01@gmail.com




0/Post a Comment/Comments