VILLA HAWAVUMI LAKINI WAMO, WATEMBEZA KIPIGO MARA 11 MFULULIZO

 

Timothy Lugembe,

Mwanakwetusports.

Klabu ya Aston Villa ianayoshiriki ligi kuu nchini England (EPL) imezidi kuwasha moto amabao unawashangaza wengi kuanzia UEFA mpaka ligi kuu.

Ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea katika dimba la Stamford Bridge umewafanya wafikishe ushindi wa 11 mfululizo kwenye mashindano yote waliyo cheza, huku wakiwa kwenye mbio za ubingwa kwa tofauti ya alama tatu dhidi ya arsenal anae ongoza kwa alama 42.

Villa amezifunga timu zote kubwa EPL isipo kuwa liverpol

HAWA HAPA WAKUBWA WALIOPIGIKA MBELE YA VILLA EPL

Chelses 1-2 Aston Villa

Aston Villa 2-1 Man utd

Aston Villa 2-1 Arsenal

Tottenham 1-2 Aston Villa.

Taa ya kijani inazidi kuwaka kwa upande wa Villa na kwa mwenendo wa EPL lolote linaweza kutokea kama wakiendelea kutoruhusu kudondosha alama huebda ikashuhudiwa wakikaa kileleni.


0767915473,

lugembetimothy@gmail.com.


0/Post a Comment/Comments