Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Klabu ya Simba SC imethibitisha kumfuta kazi Meneja Mkuu Dimitar Pantev pamoja na wasaidizi wake wawili baada ya matokeo mabaya kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Simba SC imeanza vibaya mechi mbili za Kundi D, ikifungwa 1-0 na Petro Atletico nyumbani na 2-1 dhidi ya Stade Malien nchini Mali, Pantev ameingoza Simba michezo mitano ya kimashindando akifungwa michezo miwili , ushindi mara mbili na sare moja, matokeo hayajawafurahisha Wana klabu hiyo.
Taarifa ya Bodi ya Wakurugenzi imesema kikosi kitaendelea kuongozwa na Kocha Selemani Matola wakati ambapo mchakato wa kupata kocha mpya ukiendelea.
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.


Post a Comment