HAALAND, MBAPPE NA KANE KWENYE MJADALA NANI MKALI ZAIDI?
Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Mjadala kuhusu nani ni mshambuliaji bora barani ulaya kwa sasa umekuwa ukigonga vichwa vya wanasoka Wengi ulimwenguni huku wakiwataja washambuliaji watatu kwa kuwashindanisha.
Majina yanayotajwa ni mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappe, Erling Haaland Man city na Harry Kane Bayern Munich, wanatajwa kutokana na ubora wao wa kufunga mabao na mjadala unakuja nani ni mshambuliaji hatari zaidi ya mwenzake.
Kwenye habari ya ubora wote ni bora ila kitakacho amua nani awe bora zaidi ni ubora wa takwimu baina na mshambuliaji mmoja na mwingine na mchango binafsi kwenye mashindano makubwa ikiwemo UEFA champions League na kombe la Dunia mwakani.
EPL
LALIGA
BUNDESLIGA
SERIE A
LIGUE 1
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.






Post a Comment