Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Ligi Tano kubwa barani ulaya zinazidi kushika Kasi huku msimamo na tofauti ya alama imekuwa ni ndogo kulinganisha na misimu kadhaa.
Ligi kuu England tofauti ya alama kati na anae ongoza ligi na anaefuata ni alama mbili , Laliga ni tofauti ya alama nne huku Villarreal akiwa nyuma michezo miwili nafasi ya tatu akifanikiwa kushinda michezo yake tofauti itakuwa alama mbili, Ligue 1 tofauti ni alama Moja, Serie A tofauti alama Moja na Bundesliga tofauti ni alama Tisa.
Taa ya kijani imemuwakia zaidi Bayern akiwa na mwenendo mzuri kuelekea ubingwa.
MSIMAMO WA LIGI
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.






Post a Comment