MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA 2026 HAYA HAPA

 

Timothy Lugembe,

Mwanakwetusports.

Kiu ya wadau wa soka ulimwenguni kuhusu makundi ya kombe la Dunia 2026 itakayo fanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu Mexico, Canada na Marekani rasmi imekatwa baada ya droo iliyofanyika usiku wa Novemba 5 huko Kennedy center, Washington DC nchini Marekani.

Katika makundi hayo Jumla ya timu 42 zimepangwa huku timu sita zikisubiria kucheza intercontinental Play off ili Kuziba mapengo yaliyopo ambapo Kuna baadhi ya makundi yana timu tatu, hivyo ni timu sita tu zinasubiriwa kuhitimisha timu 48, zitakazo shiriki kombe la Dunia 2026.

0767915473,

lugembetimothy01@gmail.com.




0/Post a Comment/Comments