HAALAND NA REKODI MPYA EPL

 

Timothy Lugembe,

Mwanakwetusports.

Erling Haaland ameendelea kuthibitisha kuwa ndiye mfalme mpya wa mabao katika Ligi Kuu England baada ya kuweka historia nyingine ya kipekee ndani ya muda mfupi kwa kufikisha mabao 100 , historia imeandikwa baada ya kufunga bao dakika ya 17' dhidi ya Fulham.kwenye ushindi wa 4-5.

Haaland anazadi kuthibitisha kuwa ni mshambuliaji wa kutisha zaidi EPL ambapo mpaka sasa kwenye michezo 14, aliyocheza amepachika mabao 15 na pasi za usaidizi wa mabao (assist 3) mbele ya mabao manne dhidi ya anamfutia mwenye bao 11.

Akiwa bado kijana (25) na akicheza katika kikosi chenye ubora na mwalimu mzoefu, inaonekana kabisa rekodi nyingine zinakuja kuvunjwa kama hatokumbana na majeruhi.

0767915473,

lugembetimothy01@gmail.com.


0/Post a Comment/Comments