Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, akizungumza na mashabiki wa Goba Majengo kuwataka wajitokeze kwa wingi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Atletico Petro de Luanda, utakaopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Ahmed Ally ametumia mkutano huo kuhimiza mashabiki kusafiri kwa pamoja ili kupunguza gharama na kuongeza nguvu ya ushiriki uwanjani.
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.


Post a Comment