Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports.
Timu ya Taifa ya Argentina inatarajiwa kuwa mgeni wakati wa maazimisho wa miaka 50 ya uhuru wa Angola walioupata kutoka kwa Ureno Novemba 11, 1975.
Angola wameandaa mchezo huo wa kirafiki utakao fanyika siku ya ijumaa, Novemba 14 kati ya timu ya Taifa ya Angola na Argentina, mchezo huo utafanyika katika dimba la November 11 nchini humo.
Maandalizi ya mchezo huo umegharimu Dola Million 13.
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.



Post a Comment