Timothy Lugembe,
Mwanakwetusports
Transfer market ni tovuti maarufu ya soka ya kimataifa ambayo hukusanya na kuchambua taarifa za kina kuhusu wachezaji, vilabu, na uhamisho wa wachezaji (transfers) duniani kote.
Wiki hii transfer market wametoa taarifa kuhusu thamani ya vikosi vya Timu mbali mbali huku Timu ya Simba sc kutoka Tanzania inayonshika nafasi ya Tano kwa ubora barani Africa imeonekana kuwa Timu yenye thamani ndogo kwenye orodha ya vile vilabu kumi Bora.
Katika orodha hiyo kwa kuzingatia Timu kumi Bora Africa na thamani yake nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Al Ahaly ya misri yenye thamani ya dollar million 45, nafasi ya pili ikiwa ni Mamelod sundown yenye thamani ya dollar million 35.2, nafasi ya tatu ni Experence yenye thamani ya dollar million 19.8, nafasi ya nne ni RS Berkane wenye thamani ya dollar 13.4, huku nafasi ya Tano ikishikiliwa na Simba wenye thamani ya dollar million 2.18, nafasi ya kumi ambaye ni balzodad anathaman ya dollar million 9, hivyo kwenye orodha ya vilabu kumi Bora barani Africa Simba ndio Timu yenye thamani ndogo zaidi.
Hivyo Cha muhimu nikuweka mambo wazi ikiwemo kuweka thamani halisi za wachezaji , kuweka wazi mauzo ya wachezaji na mshahara wanaonwalipa hiyo itassaidia hata hizi taasisi zinazo kusanya takwimu kupata takwimu iliyo kamili.
0767915473
lugembetimothy01@gmail.com.
Post a Comment