Mwanakwetusports,
Portugal na Spain wameandika historia nyingine katika ulimwengu wa soka baada ya kufuzu kwa kishindo katika fainali ya mashindano makubwa ya kimataifa ya UEFA NATIONS LEAGUE A CHAMPION SHIP fainali hiyo itanyika Tarehe 8-6-2025, uwanja wa Allianz arena Munich nchini ujerumani.
Majirani hawa wa Peninsula ya Iberia wamekutana baada ya kufuzu hatua ya nusu fainali kwa kuwaondoa vigogo, Portugal walishinda 2-1 dhidi ya Germany ambapo magoli ya lifungwa na Coceicao 63" pamoja Ronaldo 68" bao la kufutia machozi la Germany likifungwa na Wirtz 48"
huku Spain alishinda bao 5-4 dhidi ya France ambapo katika mchezo Lamine Yamal alifunga magoli mawili dakika ya 54" na 67 " magoli mengine ya Spain yalifungwa na Williams 23" Merino 25" Pedri 55" huku magoli ya France Mbappe 59", Check 79", Vivian 84", na Kolo Muan 90+3.
Mkutano wa fainali kati ya timu hizi mbili za kihistoria unatarajiwa kuwa wa kusisimua. Wote wanakuja na rekodi nzuri, wakiwa na wachezaji mahiri na uzoefu mkubwa wa mashindano ya kimataifa. Je, ni Ureno wataoendeleza ndoto yao ya kutwaa taji jingine, au ni Uhispania wataotawala bara la Ulaya tena?
0767915473,
lugembetimothy01@gmail.com.
Post a Comment