Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Ceasiaa Queens
Leo saa 9:30 kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Mkwawa kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa mwisho wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League.


Kikosi Kamili kilichopangwa:

Carolyne Rufa (28), Diana Mnali (15), Esther Bessa (23), Danai Bhobho (40), Ruth Ingosi (20), Joelle Bukuru (18), Vivian Corazone (4) Asha Djafar (24), Mwanahamisi Omary (7), Jentrix Shikangwa (25).

Wachezaji wa Akiba

Janeth Shija (30), Wema Richard (3), Amina Hemed (14), Silvia Thomas (12), Shelda Boniface (39), Koku Kipanga (19), Topister Situma (13), Zainabu Mohamed (8), Asha Rashid (33).

0/Post a Comment/Comments