MNYAMA KATOKA HUKU AKIGAWA UTAMU PANDE ZOTE

 

Timothy Lugembe,

Mwanakwetusports.

Klabu ya Simba sports Club rasmi imeaga mashindano ya klabu bingwa Afrika baada ya kutoa sare ya 1-1 Ugenini dhidi ya Petro de Luanda, sare hiyo imewafanya wafikishenalama Mbili wakibawa na mchezo mmoja mkononi.

Mnyama kagawa utamu pande zote yaani Kila timu kwenye kundi imevuna alama tatu kwa mnyama.

Petro Atletico kavuna alama 4

Esperance de Tunis kavuna alama 4

Stede malien kavuna alama 3, huku akiwa amebakiza mchezo mmoja wa marudiano.

Inatosha kwa msimu huu klabu ijipange kuelekea msimu ujao wa mashindano kwa kuangalia walipo kwamba msimu huu na kufanya marekebisho.

0767915473,

lugembetimothy01@gmail.com




0/Post a Comment/Comments